Mapenzi Yako

by Kwame

/
  • Streaming + Download

    Includes high-quality download in MP3, FLAC and more. Paying supporters also get unlimited streaming via the free Bandcamp app.

      name your price

     

about

Second Single of the EP: Rugendo

lyrics

SONG: KAMA HUYU
WRITTEN AND COMPOSED BY KWAME
PRODUCED MG

Uu tururuuu

Verse One:

Maishani mwangu
Sijamuona kama huyu
Anavyo nijali ii
Tena huwa hamind i
Mikono yake ni wide i
Yote yale ya kale
Alinisamehe

Uzuri wake naufahamu
Kweli una utamu
Kamwe hatuachani

Pre Chorus:
Ananipenda saidi
Nami kusidi
Kipi kingine nitahitaji i
Ananipenda zaidi
Nami kuzidi
Kipi kungine nitahitaji

Chorus:
Mapenzi
Oh Mapenzi yako
Oh mapenzi
Mapenzi yako yamenitosha
Mapenzi
Oh Mapenzi yako
Oh mapenzi
Mapenzi yako yanitosheleza
Mapenzi
Oh Mapenzi yako
Oh mapenzi
Mola Mapenzi yako
Yamenitosha...

Verse Two:

Mutumia musamaria
Uria wari mumaraya
Muonaniire githimaini
Ukimuhe maai
Sauru ari muuragani
Arorete dameski
Mwacemaniria njiraini
Ukimugarura a
Sakayo mwitia mbia cia igoti
Wamukorerera mukirianira

Onawe wacemania nake
Ucoke umuihe
Hari we hatiri rihia inene
Ona we wacemania nake
Ureke akwende
Uri inaga ruimbo rweru
Ta ruru uugage

Chorus:
Mapenzi
Oh Mapenzi yako
Oh mapenzi
Mapenzi yako yamenitosha
Mapenzi
Oh Mapenzi yako
Oh mapenzi
Mapenzi yako yanitosheleza
Mapenzi
Oh Mapenzi yako
Oh mapenzi
Mola Mapenzi yako
Yamenitosha...

Bridge:
Msalabani
(Msalabani uuuuuuuu)
Alipanua mikono kasema njoo
Ukimpa nafasi
(Nafasi uuuuuuuuu)
Atakupenda
Hivyo ndivyo ilivyo
Msalabani
(Msalabani uuuuuuuu)
Alipanua mikono kasema njoo
Ukimpa nafasi
(Nafasi uuuuuuuuu)
Atakupenda
Hivyo ndivyo ilivyo

Chorus:
Mapenzi
Oh Mapenzi yako
Oh mapenzi
Mapenzi yako yamenitosha
Mapenzi
Oh Mapenzi yako
Oh mapenzi
Mapenzi yako yanitosheleza
Mapenzi
Oh Mapenzi yako
Oh mapenzi
Mola Mapenzi yako
Yamenitosha...

Mapenzi
Mapenzi
Mapenzi.....

END

credits

released June 24, 2014
Song: Mapenzi Yako
Artist: Kwame
Prod by: MG
Additional BGV's: Dempsey
NedokaHMusic/WaithakaENT/CNMusic
Twitter @KwameKE
Soundcloud (soundcloud.com/kwameke)
Facebook (www.facebook.com/Kwamemzik)

tags

license

all rights reserved

about

Waithaka Ent Nairobi, Kenya

contact / help

Contact Waithaka Ent

Streaming and
Download help