Malkia

by Kwame

supported by
/
  • Streaming + Download

    Includes unlimited streaming via the free Bandcamp app, plus high-quality download in MP3, FLAC and more.

      $1 USD  or more

     

about

First single of Kwame's debut album...

lyrics

MALKIA BY KWAME

INTRO
Toka juu kama manna
Toka juu kama manna
Toka juu kama manna
Toka juu kama toka juu toka juu....
Toka juu kama manna
Toka juu kama manna
Toka juu kama manna
Toka juu kama toka juu toka juu...


1ST CHORUS
Malkia Malkia wangu unanipendezanga
Aaaaaaaaah wanipa raha
Toka juu kama maana
We ni wa maana
Aaaaaaaaaah I love you

VERSE ONE
Baby, wify
Ninavyo hisi
Hivi ni crazy eh
Tangu nikuvishe pete
Kwangu mapenzi ni tele
Leo nitasema ufahamu nakupenda
Umekuwa mke mwema kwangu
Mwenye utu na
Singekuwa hivi bila lako penzi ii
Baibe, sweetie, honey, my sukari
Sukari

2ND CHORUS
Malkia Malkia wangu unanipendezanga
Aaaaaaaaah wanipa raha
Toka juu kama maana
We ni wa maana
Aaaaaaaaaah I love you

VERSE TWO
Ooh
Nilipokuwa kijana
Nilitamani
Kumuiga baba
Alivyo mtunza mama
Hivi leo nisha wai wangu
Kipenzi ooh
Nitakulinda, kuvisha, kulisha, kutunza
Na kamwe sitakwacha
Iwe guarantee
Hii ring titatiii
Ushanisamba jamani
Ooh!
Malaika...

3RD CHORUS
Malkia Malkia wangu unanipendezanga
Aaaaaaaaah wanipa raha
Toka juu kama maana
We ni wa maana
Aaaaaaaaaah I love you

credits

released January 31, 2015
Song: Malkia
Artist: Kwame
Prod by: Waithaka
Sax by: Don
Recorded by: MG
Mixed & Mastered by: Giggz
NedokaHMusic/WaithakaENT/CNMusic

tags

license

all rights reserved

about

Waithaka Ent Nairobi, Kenya

contact / help

Contact Waithaka Ent

Streaming and
Download help